# Taarifa ya Jumla: Aliyedhaniwa kuwa amekufa ni Paulo. # kuwashawishi makutano Inaweza kusaidia kueleza wazi alichowashawishi umati kufanya. "kuwashawishi watu kutowaamini Paulo na Barnaba, na kuwegeukia" # makundi Hii inaweza kutokuwa kundi moja na "makutano" katika mstari uliopita. Muda umepita, na hili linaweza kuwa kundi tofauti lililokusanyika pamoja. # wakidhani kuwa amekufa "kwa sababu walifikiri kuwa ameshakufa" # wanafunzi Hawa walikuwa waumini wapya katika mji wa Listra. # kuingia katika mji "Paulo aliingia tena Listra na waumini" # alienda Derbe na Barnaba "Paulo na Barnaba walienda katika mji wa Derbe"