sw_tn/act/14/08.md

36 lines
786 B
Markdown

# Kauli Unganishi:
Paulo na Barnaba sasa wako Listra.
# Taarifa ya Jumla:
Taarifa ya Jumla: Anayezungumziwa kuwa na imani ni yule kiwete; na aliyemsemesha ni Paulo. Yule aliyesemeshwa ni kiwete.
# mtu fulani aliketi
Hii inatambulisha mtu mpya katika simulizi.
# dhaifu miguuni mwake
"kutokuweza kusogeza miguu yake" au "kutokuweza kutembea kwa miguu yake"
# kiwete
"kilema"
# kiwete tangu tumboni mwa mama yake
"kiwete tangu kuzaliwa"
# Paulo alimkazia macho
"Paulo alimtazama moja kwa moja"
# alikuwa na imani ya kufanywa mzima
Nomino "imani" inaweza kutafsiriwa kama kitenzi "amini." "aliamini kwamba Yesu anaweza kumponya" au "aliamini kuwa Yesu anaweza kumfanya mzima"
# akaruka juu
"akaruka hewani." Hii inaashiria kwamba miguu yake ilikuwa imeponywa kikamilifu.