sw_tn/act/13/23.md

40 lines
951 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Nukuu hii inatoka katika vitabu vya Injili.
# Kutoka kwenye ukoo wa mtu huyu
"KUtoka katika ukoo wa Daudi." Hii imewekwa mwanzoni mwa sentensi kuelezea kuwa Mwokozi angekuwa nduye aliyetoka katika ukoo wa Daudi.
# ameiletea Israeli
Inamaanisha watu wa Israeli.
# kama alivyoahidi kufanya
"Kama vile Mungu alivyoahidi angefanya"
# Ubatizo wa toba
Unaweza kulitafasiri neno "toba" kama kitenzi kama vile; "Ubatizo kwa watu waliotakiwa kutubu kwa ajili ya dhambi zao."
# "Mwanifikiri mimi ni nani?"
Yohana aliuliza swali kuwafanya watu wafikirie Yohana alikuwa nani.
# mimi si yule
Yohana alikuwa anamwelezea Masihi, ambaye watu walikuwa wanamtegemea kuja.
# Lakini sikilizeni
Neno linalo elezea umuhimu wa kile ambacho atakwenda kusema.
# ajaye nyuma yangu
Hii pia inazungumzia kuja kwa Masihi. "Masihi atakuja Mapema"
# sisitahili kulegeza viatu vya miguu yake.'
"Mimi sistahili hata kungua kamba za kiatu chake."