sw_tn/act/13/21.md

32 lines
673 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Nukuu katika simlizi hii inatoka katika kitabu cha Samweli na katika Zaburi za Ethani katika Agano la kale.
# kwa miaka arobaini
"Kuwa mfalme wao kwa miaka arobaini"
# kumuondoa katika ufalme
Inamaanisha kuwa Mungu alisababisha Sauli asiendelee kuwa Mfalme. "Alimkataa asiwe Mfalme"
# alimwinua Daudi kuwa mfalme wao
"Mungu alimchagua Daudi kuwa Mfalme wao."
# Mfalme wao
"Mfalme wa Israeli" au "Mfalme juu ya Waisreli"
# Ilikuwa ni kuhusu Daudi kwamba Mungu alisema
"Mungu alisema hivyo kuhusu Daudi"
# Nimempata
"Nimeshaona kwamba"
# kuwa mtu apendezwaye na moyo wangu
namaanisha kuwa "Yeye ni mtu anayetaka kutenda ambayo mimi nataka"