forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
817 B
Markdown
28 lines
817 B
Markdown
# Maelezo ya jumla
|
|
|
|
Hii ni taarifa inayotoa mrejesho juu ya kuenea kwa neno la Mungu na kwa vile Barnaba na Sauli walikuwa wakifanya.
|
|
|
|
# neno la Mungu likakua na kusambaa
|
|
|
|
Neno la Mungu likahubiriwa kama vile mti mbichi uliokuwa na uwezo wa kustawi na kuzaa matunda. "Neno la Mungu likasambaa katika maeneo mbalimbali na watu wakamwamini."
|
|
|
|
# Neno la Mungu
|
|
|
|
Watu wengi walisikia habari za neno la Mungu na kuupokea wokovu kwa njia ya Yesu.
|
|
|
|
# kukamilisha huduma yao wakatoka pale wakarejea Yerusalemu,
|
|
|
|
Inaelezea wakati walipopeleka fedha kutoka kwa waumini wa Antiokia sura 11:29.
|
|
|
|
# walirudi kutoka kule
|
|
|
|
Walirudi kwenda Antiokia. "Baraba na Sauli walirudi Antiokia"
|
|
|
|
# wakamchukua na Yohana
|
|
|
|
"Baraba na Sauli walimchukua Yohana pamoja nao"
|
|
|
|
# ambaye jina la kuzaliwa ni Marko
|
|
|
|
"Alikuwa akiitwa jina jingine Marko"
|