sw_tn/act/11/22.md

32 lines
703 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Katika mistari hii Luka anaanza kumtaja Barnaba na wakati huo huo akiwataja waumini wa kanisa la Yerusalemu.
# masikioni mwa kanisa
apa neno "masikio" linamaanisha Waumini walisikia habari za matukio.
# kuona karama ya Mungu
"Kuona neema ya Mungu" au "Namna gani Mungu ametenda kwa ukarimu juu ya waumini".
# aliwatia moyo wote
"Aliendelea kuwatia moyo"
# kubaki na Bwana
"kubaki waaminifu katika Bwana" au"Kuendelea kumtumaini Bwana"
# Kwa miyo wao wote
"Kwa utimilifu; au Bila kupungukiwa"
# amejazwa na Roho Mtakatifu
Barnaba aliongonzwa na Roho Mtakatifu kwa vile alikuwa amemtii.
# watu wengi wakaongezeka katika Bwana
"Kuongezeka" Walioamini walizidi kuongezeka.