sw_tn/act/10/36.md

28 lines
612 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Petro anaendelea na Kornerio pamoja na wageni wake.
# ambaye ni Bwana wa wote
"Wote" maana yake watu wote"
# Yudea yote
"Katika maeneo mbalimbali ya Yudea"
# baada ya ubatizo ambao Yohana alitangaza
"Baada ya Yohana kuhubiri kwa watu kurubu na kubatizwa"
# Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na kwa nguvu
Roho Mtakatifu na nguvu za Mungu zimenenwa kana kwamba ni vitu vinaweza kumiminwa juu ya mtu.
# wote walioteswa na ibilsi
"Watu wengi waliokuwa wanapitia mateso ya shetani"
# Mungu alikuwa pamoja naye.
Inamaanisha; "Mungu alikuwa akimtia nguvu kuzitenda kazi zote"