sw_tn/act/10/19.md

28 lines
530 B
Markdown

# akiwaza juu ya hayo maono
"Wakati Petro alipokuwa akifikri juu ya haya maono"
# Roho
"Roho Mtakatifu"
# Tazama
Uwe macho" au "Amka"
# watu watatu wanakutafuta
Baadhi ya nyaraka za kale zinasema idadi tofauti ya wale watu.
# Shuka chini
"Shuka chini kutoka dari ya nyumba"
# Usiogope kwenda nao
Ingekuwa kawaida kwa Petro kutokwena na hao watu; 1) Kwa vile walikuwa wageni kwake na 2) Walikuwa wa mataifa ambapo Wayahudi walikuwa hawachangamani na wao.
# Mimi ni yule mnayemtafuta
"Mimi ndiye mtu yule mnayemtafuta"