sw_tn/act/09/40.md

28 lines
806 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Simlizi ya Tabitha inaishia katika mstari 42, na mstari 43 unatuambia kilichokuwa kinaendelea kwa Petro baada ya simlizi ya Tabitha kumalizika.
# Akawatoa wote nje
Kwa shauri hili, Petro aliwafanya kila mmoja kuondoka ili aweze kuwa pekee yake na kuomba kwa ajili ya Thabitha.
# akampa mkono wake akamwinua
Petro alimshika mkono wake na kumsaidia kuinuka.
# waumini na wajane,
Hata wajane yawezekana walikuwa waumini, lakini hapa wametambulishwa kwa jina la wajane kwasababu Tabitha alikuwa mtu muhimu kwao.
# Jambo hili kujulikana Yafa yote
Muujiza wa Petro kumfufua Tabitha kutoka kwenye kifo ukajulikana na watu wote wa Yafa.
# Walimwamini Bwana
"waliiamini injili ya Bwana Yesu."
# Ikatokea kwamba Petro alikaa
"Ikatokea kuhusu kwamba Petro akakaa huko kwa muda"