sw_tn/act/08/39.md

16 lines
414 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Huu ni mwisho wa simulizi kuhusu Filipo na mtu kutoka Ethiopia.
# Toashi hakumwona tena
Filipo alitoweka machoni pa Towashi hivyo hakumwona tena.
# Filipo akatokea Azoto.
Kulikuwa hamna dalili za Filipo kusafiri kati ya alipokutana na Ethiopia na Azoto. Ghafla alipotelea katika barabara ya Gaza na kuzuka tena Azoto.
# Mpaka alipokuja Kaisaria.
Simulizi ya Filipo inaishia Kaisaria.