# Sentensi unganishi Huu ni mwisho wa simulizi kuhusu Filipo na mtu kutoka Ethiopia. # Toashi hakumwona tena Filipo alitoweka machoni pa Towashi hivyo hakumwona tena. # Filipo akatokea Azoto. Kulikuwa hamna dalili za Filipo kusafiri kati ya alipokutana na Ethiopia na Azoto. Ghafla alipotelea katika barabara ya Gaza na kuzuka tena Azoto. # Mpaka alipokuja Kaisaria. Simulizi ya Filipo inaishia Kaisaria.