sw_tn/act/08/20.md

40 lines
772 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Viwalilishi vya majina katika habari hii vinamwakilisha Simoni
# pesa yako pamoja na wewe ipotelee mbali
Wewe na pesa yako muangamizwe
# Karama ya Mungu
"Karama" ni neno linaelezea uwezo wa kutoa Roho Mtakatifu kwa njia ya kuweka mikono juu ya mtu mwingine.
# Hauna sehemu katika jambo hili
Neno "huna sehemu" linaonyesha kuwa Simoni huna sehemu ya kushiriki katika kazi hii.
# Moyo wako si mnyoofu
"Kufikiri kwako si sahihi"
# Kwa namna ulivyotamani
"Kutaka kununua uwezo wa kutoa nguvu ya roho kwa wengine"
# Uovu huu
"Mawazo haya maovu"
# labda utasamehewe
"Anaweza kuwa tayari kukusamehe"
# Sumu ya uchungu
Haya ni maelezo ya fumbo yanayomaanisha wivu uliokidhiri.
# Vifungo vya dhambi
"mtumwa wa dhambi" au "atafanya dhambi tu"