# Maelezo ya jumla Viwalilishi vya majina katika habari hii vinamwakilisha Simoni # pesa yako pamoja na wewe ipotelee mbali Wewe na pesa yako muangamizwe # Karama ya Mungu "Karama" ni neno linaelezea uwezo wa kutoa Roho Mtakatifu kwa njia ya kuweka mikono juu ya mtu mwingine. # Hauna sehemu katika jambo hili Neno "huna sehemu" linaonyesha kuwa Simoni huna sehemu ya kushiriki katika kazi hii. # Moyo wako si mnyoofu "Kufikiri kwako si sahihi" # Kwa namna ulivyotamani "Kutaka kununua uwezo wa kutoa nguvu ya roho kwa wengine" # Uovu huu "Mawazo haya maovu" # labda utasamehewe "Anaweza kuwa tayari kukusamehe" # Sumu ya uchungu Haya ni maelezo ya fumbo yanayomaanisha wivu uliokidhiri. # Vifungo vya dhambi "mtumwa wa dhambi" au "atafanya dhambi tu"