sw_tn/act/07/20.md

20 lines
496 B
Markdown

# Katika kipindi kile Musa alikuwa amezaliwa
Haya ni maelezo ya kumtambulisha mtu mpya, Musa.
# Alikuwa mzuri mbele za Mungu
Musa alikuwa kijana mzuri
# Akalelewa miezi mitatu
Wazazi wake walimlea Musa miezi mitatu.
# Wakati alipotupwa nje
Musa "alitupwa" kwa sababu Farao alikuwa ameamuru kila mtoto wa kiume azaliwapo lazima atupwe. Wazazi wake walilazimika kumweka nje ya nyumba yao.
# Binti Farao alimchukua na kumfanya kama mwana wake
kama vile alikuwa mwanaye wa kiume wa kuzaa