sw_tn/act/07/04.md

12 lines
324 B
Markdown

# Hakumpa chochote kama urithi wake
Hakuweza kutoa chochote katika hiyo.
# hapakuwa na sehemu hata ya kuweka mguu
Inaweza kuwa na maana ya; 1) Eneo pana la kuweza kusimama; au 2) Aridhi ya kutosha kuweza kutembea kwa hatua kadhaa.
# kama miliki yake na uzao wake
Kwamba nchi itakuwa mali yake milele yeye na uzao wake.