# Hakumpa chochote kama urithi wake Hakuweza kutoa chochote katika hiyo. # hapakuwa na sehemu hata ya kuweka mguu Inaweza kuwa na maana ya; 1) Eneo pana la kuweza kusimama; au 2) Aridhi ya kutosha kuweza kutembea kwa hatua kadhaa. # kama miliki yake na uzao wake Kwamba nchi itakuwa mali yake milele yeye na uzao wake.