sw_tn/act/03/09.md

12 lines
271 B
Markdown

# Wakatambua kwamba alikuwa ni yule mtu
Kila mmoja alishuhudia kuwa aliyeponywa ndiye alikuwa mtu yule.
# Lango la uzuri
Hili lilikuwa moja ya jina la milango ya kuingia kwenye eneo la hekalu.
# walijawa na mshangao na kustaajabu
Watu walishikwa na mshangao mkubwa.