sw_tn/act/02/22.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown

# Sentensi unganisha
Petro anaendelea na hoja yake kwa Wayahudi aliyoianza
# sikieni maneno haya
"Sikilizeni kwa yale ninayotaka kuwaambia"
# aliyethibitishwa na Mungu kwenu kwa matendo ya uweza na maajabu, na ishara
Inamaanisha Mungu anathibitisha kuwa alimchagua Yesu kwa huduma yake ya kudhihirisha matendo makuu ya miujiza.
# mwanadamu aliyethibitishwa na Mungu kwenu
"Mtu ambaye Mungu alimdhibitisha kwenu"
# Kwa sababu ya mpango uliokusudiwa tangu mwanzo, na maarifa ya Mungu
Inamaanisha kuwa, Mungu alipanga na kujua tangu zamani kwamba yangetokea nyakati za Yesu
# ambaye Mungu alimwinua
Maana yaweza kuwa: 1) "Mlimtia Yesu katika mikono ya maadui" au 2) Yuda alimsaliti Yesu kwenu"
# kwa mikono ya watu wahalifu, mlimsulibisha na kumuua
Ingawa watu wahalifu kweli walimsulibisha Yesu, hapa Petro anawashitaki kundi lote kwa kumwua kwasababu walikuwa wamekusudia Yesu auawe.
# akauondoa uchungu wa mauti kwake, kwasababu haikuwezekana kwake kumilikiwa na huo.
etro anazungumzia kifo kama mfano wa binadamu anayeshikilia wafungwa hara kusababisha mateso makali.