sw_tn/act/02/12.md

12 lines
334 B
Markdown

# wameduwaa na kutatanishwa;
Watu hawakujua nini cha kufikiri kuhusu kilichokuwa kinatokea. "shangazwa na kuchanganyikiwa."
# Hawa wamejazwa kwa mvinyo mpya."
Baadhi ya watu waliwatuhumu waumini kwa kile kilichotokea wakidai wamelewa na mvinyo.
# mvinyo mpya
Linaelezea mvinyo unaoandaliwa kuwa na nguvu kuliko mvinyo ya kawaida