# wameduwaa na kutatanishwa; Watu hawakujua nini cha kufikiri kuhusu kilichokuwa kinatokea. "shangazwa na kuchanganyikiwa." # Hawa wamejazwa kwa mvinyo mpya." Baadhi ya watu waliwatuhumu waumini kwa kile kilichotokea wakidai wamelewa na mvinyo. # mvinyo mpya Linaelezea mvinyo unaoandaliwa kuwa na nguvu kuliko mvinyo ya kawaida