sw_tn/act/01/04.md

28 lines
615 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Tukio hili lilitukia wakati wa siku arobaini ambazo Yesu alionekana kwao baada ya Yeye kufufuka toka katika wafu.
# Alipokuwa akikutana pamoja nao
Wakati Yesu alipokutana pamoja na mitume wake.
# Ahadi ya Baba
Roho Mtakatifu ambaye Baba aliahidi kumtuma.
# ambayo, alisema
Roho Mtakatifu ambaye Yesu alisema habari zake.
# Yohana alibatiza kabisa kwa maji,
Yesu anatofautisha ubatizo wa Yohana wa maji, na ule ubatizo wa Mungu ambao utakuwa ni wa Roho Mtakatifu.
# Yohana alibatiza kwa maji kabisa
"Yohana hasa alibatiza watu kwa maji"
# ninyi mtabatizwa
"Mungu atawabatiza ninyi"