# Sentensi unganishi Tukio hili lilitukia wakati wa siku arobaini ambazo Yesu alionekana kwao baada ya Yeye kufufuka toka katika wafu. # Alipokuwa akikutana pamoja nao Wakati Yesu alipokutana pamoja na mitume wake. # Ahadi ya Baba Roho Mtakatifu ambaye Baba aliahidi kumtuma. # ambayo, alisema Roho Mtakatifu ambaye Yesu alisema habari zake. # Yohana alibatiza kabisa kwa maji, Yesu anatofautisha ubatizo wa Yohana wa maji, na ule ubatizo wa Mungu ambao utakuwa ni wa Roho Mtakatifu. # Yohana alibatiza kwa maji kabisa "Yohana hasa alibatiza watu kwa maji" # ninyi mtabatizwa "Mungu atawabatiza ninyi"