sw_tn/3jn/01/13.md

24 lines
499 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Huu ni mwisho wa barua ya Yohana kwa Gayo. Anampatia mambo ya hitimisho na kuifunga kwa salaamu.
# lakini sipendi kukuandikia kwa kalamu na wino
Yohana hana utashi wa kuwaandikia mambo mengine yote. Hasemi kwamba kwamba angewaandikia mambo fulani zaidi ya kalamu na wino.
# ana kwa ana
"Kwa pamoja" au "kwa mmoja mmoja"
# Amani iwe pamoja nawe
"Mungu aweza kukupa amani"
# Marafiki wanakusalimu
"Marafiki hapa wanakusalimu
# marafiki
"Rafiki zako" au "Waumini wenzako"