# Maelezo ya jumla Huu ni mwisho wa barua ya Yohana kwa Gayo. Anampatia mambo ya hitimisho na kuifunga kwa salaamu. # lakini sipendi kukuandikia kwa kalamu na wino Yohana hana utashi wa kuwaandikia mambo mengine yote. Hasemi kwamba kwamba angewaandikia mambo fulani zaidi ya kalamu na wino. # ana kwa ana "Kwa pamoja" au "kwa mmoja mmoja" # Amani iwe pamoja nawe "Mungu aweza kukupa amani" # Marafiki wanakusalimu "Marafiki hapa wanakusalimu # marafiki "Rafiki zako" au "Waumini wenzako"