sw_tn/2ti/04/03.md

36 lines
1.3 KiB
Markdown

# kwa maana wakati unakuja
"kwasababu kwa muda fulani baadaya"
# watu
Hali inaonyesha kuwa wale walikuwa watu wa kanisani
# hawatachukuliana na mafundisho ya kweli
Hii ina maana kwamba mafundisho ambayo kanisa zima kuchukulia kuwa kweli na sahihi.
# watajitafutia waalimu wa kufundisha kile wanacho kitamani, masikio yao yatakuwa tayari kusikia kile wakipendacho.
Maana inawezekana ikawa ni 1) kwa sababu ya tamaa zao binafsi, wao watajikusanyia karibu walimu ambao watasema nini wanataka kusikia au 2) kukusanya karibu walimu ambao wanakubaliana na tamaa zao binafsi na watasema nini wanataka kusikia.
# masikio yao yatakuwa yametekenywa
Hii inamaanisha kuwa watu watafurahia kusikiliza mafundisho mapya na ya tofauti. "Kwa namna hii watatafta mambo mapya na ya tofauti ya kujifunza"
# Wataacha kusikiliza mafundisho ya kweli
Paulo anazungumzia watu ambao hawajali tena na wala hawasikii. "hawasikilizi tena ukweli"
# kazi ya uinjilisti
Hii ina maana kuwaambia watu kuhusu Yesu ni nani?alifanya nini kwaajili yao? na ni kwa jinsi gani waishi kwa ajili yake?
# Watageukia hadithi
Paulo anazungumza na watu ambao wameanza kusikiliza hadithi. "wataanza kusikiliza hadithi ambazo si za kweli"
# uwe mwaminifu
Paulo anataka wasikilizaji wake kuwa na fikra sahihi kwa kila jambo na aliwaambia wakitaka kuwa waaminifu wasitumie kileo.