sw_tn/2ti/02/22.md

32 lines
860 B
Markdown

# Kimbieni tamaa za ujana
Mafumbo haya yanamaanisha mbio haraka uwezavyo. Kukimbia ni kukimbia kitu kitakachoweza kuwadhuru ninyi, kufuata ni kukimbia kuelekea kitu ambacho kitakufanyia mema.
# ukafuate haki
"kuitafuta haki"
# Na
Maana inawezekana ni 1) Paulo alimtaka Timotheo kujiunga na wakristo wengine katika kutafuta haki' au 2) Paulo alimtaka Timotheo awe na amani na sio kugombana na waamini wengine.
# nao wamwitao Bwana
"Wakristo" au "wote ambao wanaojiita watu wa Mungu"
# kwa moyo safi
"Kwa nia ya dhati" au "kwa sababu nzuri"
# ukatae upumbavu na maswali ya kipuuzi
"Kukataa kujibu maswali ya upumbavu" na "maswali ya kipuuzi"
# Moyo safi
Paulo anazungumza juu ya sababu nzuri za kufanya jambo toka moyoni.
# Huzaa ugonvi
Paulo anazungumza juu ya maswali ya kipuuzi akiyafananisha na mwanamke anayezaa mtoto. "inasababisha ugonvi"