sw_tn/2ti/01/15.md

28 lines
677 B
Markdown

# Wameniacha
Walimuacha kwa kuwa alikuwa amekamatwa na kutupwa gerezani.
# Hawakuionea aibu minyororo yangu
Onesiphorus hakumuonea aibu Paulo kwa sababu alikuwa gerezani ila alienda kumtembela mara kwa mara. "minyororo" inaelezea mtu aliyeko gerezani.
# Mungu amjalie kupata neema... siku ile
Paulo anatamani Onesiphorus apokee neema na sio adhabu au 1)Siku Bwana akija tena au 2) Siku ambayo Mungu atawahukumu watu.
# Figelo na Hemogene... Onesiforo
Haya ni majina ya watu.
# kwenye nyumba
"kwa familia"
# kupata rehema kutoka kwake
Paulo anazungumza kuhusu rehema kuwa ni jambo la muhimu la kutafta.
# Siku ile
Hii inaelezea siku ambayo Mungu atawahukumu watu.