sw_tn/2sa/24/17.md

12 lines
307 B
Markdown

# Nimetenda dhambi, na nimetenda kwa ukaidi
Hivi vifungu vinamaanisha kitu kimoja na vimetumika kwa msisitizo.
# Lakini kondoo hawa, wamefanya nini?
Daudi anatumia swali na analinganisha watu na kondoo kusisitiza kwamba hawajakosa.
# Tafadhari mkono wako uniadhibu mimi
Hapa "mkono" unamaanisha nguvu.