sw_tn/2sa/24/01.md

20 lines
614 B
Markdown

# Hasira ya Yahwe iliwaka juu ya Israeli
Neno "kuwaka" linamaanisha kuwasha moto. Hasira ya Yahwe inalinganishwa hapa na kule kuwasha moto
# alimchochea Daudi kinyume chao
"alimfanya Daudi kuwapinga"
# Nenda, wahesabu Israeli na Yuda
Katika sheria ya Musa, Mungu alizuia wafalme wa Israeli kuhesabu wapiganaji.
# Dani hadi Beersheba
Kifungu kinatumia majina mawili, Dani kaskazini ya mbali na Bersheba, kusini ya mbali, kuwakilisha nchi nzima.
# Hesabu watu wote... wanaofaa kwa vita
Hii inamaanisha wanaume wote isipokuwa walio watoto, wazee, au wasioweza kupigana kwa sababu ya udahifu wa miili yaoo.