sw_tn/2sa/22/50.md

12 lines
252 B
Markdown

# Maelezo ya Ujumla
Daudi anahitimisha wimbo wake kwa Yahwe
# kwa jina lako
Hapa neno "jina" inaonesha heshima ya Yahwe.
# na uonesha uaminifu wake wa kiagano kwa mtiwa mafuta wake
Daudi anaweza kuwa anarejerea ahadi alizosifanya Yahwe katika 7:8