# Maelezo ya Ujumla Daudi anahitimisha wimbo wake kwa Yahwe # kwa jina lako Hapa neno "jina" inaonesha heshima ya Yahwe. # na uonesha uaminifu wake wa kiagano kwa mtiwa mafuta wake Daudi anaweza kuwa anarejerea ahadi alizosifanya Yahwe katika 7:8