sw_tn/2sa/22/36.md

16 lines
447 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea
# hii ngao ya wokovu wako
Daudi anailinganisha nguvu ya Yahwe ya kuokoa sawa na ngao inayomkinga askari na adui yake.
# Matakwa yako
Mungu alijibu maombi ya Daudi na kumpa baraka na mafanikio juu ya adui zake
# 7Umeitengenezea miguu yangu nafasi chini yangu
Yahwe amemweka Daudi mahala salama ambapo adui zake hawawezi kumnasa. "Miguu" inamaanisha uwezo wa Daudi wa kusimama salama.