sw_tn/2sa/22/30.md

20 lines
415 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea
# Naweza kupita vipingamizi
"Vipingamizi" vyamaanisha kundi la askari au ukuta wa mawe. Yote yamaanisha Mungu humwezesha Daudi kuwashinda adui zake.
# Naweza kuruka ukuta
Daudi ametia chumvi ili kusisitiza msaada wa Yahwe.
# Neno la Yahwe ni safi
"Kila anachosema Yahwe ni kweli"
# Yeye ni ngao
"Ngao" yasisitiza uwezo wa Mungu kuwalinda watu wake.