# Maelezo ya Jumla: Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea # Naweza kupita vipingamizi "Vipingamizi" vyamaanisha kundi la askari au ukuta wa mawe. Yote yamaanisha Mungu humwezesha Daudi kuwashinda adui zake. # Naweza kuruka ukuta Daudi ametia chumvi ili kusisitiza msaada wa Yahwe. # Neno la Yahwe ni safi "Kila anachosema Yahwe ni kweli" # Yeye ni ngao "Ngao" yasisitiza uwezo wa Mungu kuwalinda watu wake.