sw_tn/2sa/22/28.md

16 lines
399 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea
# macho yako ni kinyume cha wenye kiburi
"macho yako" inamaanisha anachoona Yahwe. Inamaanisha Mungu humwona mwenye kiburi.
# Unawashusha chini
"unaharibu kiburi chao"
# wewe ni taa yangu, Yahwe. Yahwe humlika katika giza langu.
Usemi huu unamlinganisha Yahwe na taa, inamaana Humpa Daudi nuru na msaada wa kuona mambo yanapoaribika.