# Maelezo ya Jumla: Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea # macho yako ni kinyume cha wenye kiburi "macho yako" inamaanisha anachoona Yahwe. Inamaanisha Mungu humwona mwenye kiburi. # Unawashusha chini "unaharibu kiburi chao" # wewe ni taa yangu, Yahwe. Yahwe humlika katika giza langu. Usemi huu unamlinganisha Yahwe na taa, inamaana Humpa Daudi nuru na msaada wa kuona mambo yanapoaribika.