forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
406 B
Markdown
16 lines
406 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaanza. Anatumia usambaba kusisitiza akisemacho
|
|
|
|
# Mungu ni mwamba wangu... Yeye ni ngao yangu, pembe ya wokovu wangu, ngome yangu.
|
|
|
|
Semi hizi zote ni alama za nguvu na uwezo wa Mungu. Zinasisitiza uwezo wa Mungu wa kulinda na kuokoa watu wake
|
|
|
|
# Astahiliye kusifiwa
|
|
|
|
Yaani "anayestahili kupokea sifa"
|
|
|
|
# Nitaokolewa na adui zangu
|
|
|
|
"Ataniokoa na adui zangu"
|