sw_tn/2sa/21/01.md

8 lines
254 B
Markdown

# alitafuta uso wa Yahwe
"Uso" inamaanisha uwepo wa Yahwe. Inamana Daudi aliomba kwa Yahwe kwa ajili ya njaa.
# kwa sababu ya Sauli na familia yake ya mauaji
Sauli alikuwa ameuwauwa Wagibioni wengi, na wazao wake wana hatia kwa sababu ya dhambi hii.