# alitafuta uso wa Yahwe "Uso" inamaanisha uwepo wa Yahwe. Inamana Daudi aliomba kwa Yahwe kwa ajili ya njaa. # kwa sababu ya Sauli na familia yake ya mauaji Sauli alikuwa ameuwauwa Wagibioni wengi, na wazao wake wana hatia kwa sababu ya dhambi hii.