sw_tn/2sa/19/37.md

16 lines
338 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Berzilai anaomba kwamba Kimhamu aachwe kuchukua nafasi yake.
# Kimhamu
Hili ni jina la mwanaume
# katika kaburi la baba na mama yangu
Hii haimaanishi kwamba anataka kufa mara tu baada ya makaburi yao, lakini anamaanisha kwamba anataka afe katika mji walipozikwa.
# Yeye avuke
Hii inamaanisha kuvuka Mto Yordani.