# Maelezo ya Jumla Berzilai anaomba kwamba Kimhamu aachwe kuchukua nafasi yake. # Kimhamu Hili ni jina la mwanaume # katika kaburi la baba na mama yangu Hii haimaanishi kwamba anataka kufa mara tu baada ya makaburi yao, lakini anamaanisha kwamba anataka afe katika mji walipozikwa. # Yeye avuke Hii inamaanisha kuvuka Mto Yordani.