sw_tn/2sa/19/05.md

12 lines
365 B
Markdown

# Leo umeziaibisha nyuso za askari wako
Hapa askari wanatajwa kwa nyuso zao kusisitiza jinsi ambavyo wangeficha nyuso zao kwa sababu ya aibu.
# Siyo kitu kwako
Kifungu hiki kimetiwa chumvi, lakini kinaonesha uthamani mdogo alionao Daudi kwa jeshi lake.
# kame Absalomu angesalia na sisi sote tungekufa hilo lingekufurahisha
mwandishi anaonesha hali ya kuhisi.