sw_tn/2sa/18/31.md

12 lines
218 B
Markdown

# Inuka kinyume
Inamaanisha kupinga.
# Adui wa bwana wangu mfalme,... wawe kama huyo kijana
Mkushi anatumia kulinganisha kama njia laini ya kumwambia mfalme juu ya kifo cha Absalomu.
# kuhuzunika
kuchanganyikiwa