# Inuka kinyume Inamaanisha kupinga. # Adui wa bwana wangu mfalme,... wawe kama huyo kijana Mkushi anatumia kulinganisha kama njia laini ya kumwambia mfalme juu ya kifo cha Absalomu. # kuhuzunika kuchanganyikiwa