sw_tn/2sa/18/18.md

16 lines
352 B
Markdown

# Bonde la Mfalme
Hili ni jina la eneo.
# Sina mwana wa kuchukua kumbukumbu ya jina langu
Absalomu anatumia kifungu "jina langu" kujitaja mwenyewe na familia yake.
# hivyo inaitwa Mnara wa Absalomu hata leo
Hii yaweza kuelezwa kuwa hivyo watu wakaiita nguzo ya Absalomu tangu siku hiyo.
# Hata leo hii
Hii inamaanisha wakati kitabu kinaandikwa.