sw_tn/2sa/18/16.md

20 lines
713 B
Markdown

# likarudi kutoka kuwafuatia Israeli
Hapa "Israeli" inarejerea kwa jeshi la Waisraeli.
# Kisha Yoabu akapiga tarumbeta na jeshi likarudi kutoka kuwafuatia Israeli, hivyo Yoabu akalirudisha jeshi
Hii inaelezea alichokiagiza Yoabu kwa kupinga tarumbeta. Yaweza pia kutafsiriwa kuwa "kisha Yoabu akapiga tarumbeta kuwarudisha wanajeshi na jeshi likarudi kutoka katika kuwafuata Israeli"
# Walimchukua Absalomu na kumtupa
"Walichukua mwili wa Absalomu na kuurusha shimoni"
# wakaufukia mwili wake chini ya rundo kubwa la mawe
Baada ya kuuweka mwili wake shimoni waliufunika kwa rundo la mawe.
# Wakati Israeli wote
Hapa "Israeli wote" inarejerea kwa askari wa Kiisraeli. Neno "kimbia" lamaanisha kuondoka.