sw_tn/2sa/17/15.md

20 lines
515 B
Markdown

# Sadoki ... Abiathari
Haya ni majina ya wanaume
# vile na kwa njia hiyo
Kifungu kinamaanisha "kama hivi" kuhusu kile Ahithofeli alichokuwa amekisema mwanzo
# vivuko vya Araba
Hii ni sehemu ya mto isiyo na kina kirefu ambayo watu wanaweza kuvuka kwa kutembea. Araba ni nchi kandokando ya sehemu zote mbili za mto Yordani
# Kwa jinsi yoyote
Hii inamaanisha kuhakikisha unafanya jambo kwa namna yoyote.
# Mfalme atamwezwa
Hapa mfalme na watu wake kuuawa wanaelezwa kama vile walikuwa "wamemezwa" na adui.