# Sadoki ... Abiathari Haya ni majina ya wanaume # vile na kwa njia hiyo Kifungu kinamaanisha "kama hivi" kuhusu kile Ahithofeli alichokuwa amekisema mwanzo # vivuko vya Araba Hii ni sehemu ya mto isiyo na kina kirefu ambayo watu wanaweza kuvuka kwa kutembea. Araba ni nchi kandokando ya sehemu zote mbili za mto Yordani # Kwa jinsi yoyote Hii inamaanisha kuhakikisha unafanya jambo kwa namna yoyote. # Mfalme atamwezwa Hapa mfalme na watu wake kuuawa wanaelezwa kama vile walikuwa "wamemezwa" na adui.