sw_tn/2sa/16/03.md

32 lines
830 B
Markdown

# Mjukuu wa bwana wako
"Mefiboshethi, mjukuu wa bwana wako"
# mjukuu
mwana wa mtoto wa mtu.
# Tazama
Hapa neno hili linatumika kuvuta makini ya mtu kwa kinachofuata.
# Nyumba ya Israeli
Hii inahusu watu wa Israeli
# Nitaurudisha ufalme wa baba yangu kwangu
Mjukuu wa Sauli kuruhusiwa kutawala kunazungumzwa kana kwamba ni kuurudisha ufalme katika familia yao.
# Mefiboshethi
Hili ni jina la mwanamme, aliyekuwa kijana wa Yonathani mwana wa mfalme Sauli.
# Nainama kwa unyenyekevu kwako
Siba hainami kiuhalisia mbele za mfalme anapoongea. Hii inamaanisha kwamba atamtumikia mfalme kwa kiwango kilekile cha unyenyekevu kama ambavyo angefanya kama angeinama kiuhalisia mbele zake.
# kupata kibari mbele zako
Kifungu "kuona kibari" kinamaanisha kukubaliwa na mtu. Kingungu "mbele zako" inaonesha anachofikiri mfalme.