# Mjukuu wa bwana wako "Mefiboshethi, mjukuu wa bwana wako" # mjukuu mwana wa mtoto wa mtu. # Tazama Hapa neno hili linatumika kuvuta makini ya mtu kwa kinachofuata. # Nyumba ya Israeli Hii inahusu watu wa Israeli # Nitaurudisha ufalme wa baba yangu kwangu Mjukuu wa Sauli kuruhusiwa kutawala kunazungumzwa kana kwamba ni kuurudisha ufalme katika familia yao. # Mefiboshethi Hili ni jina la mwanamme, aliyekuwa kijana wa Yonathani mwana wa mfalme Sauli. # Nainama kwa unyenyekevu kwako Siba hainami kiuhalisia mbele za mfalme anapoongea. Hii inamaanisha kwamba atamtumikia mfalme kwa kiwango kilekile cha unyenyekevu kama ambavyo angefanya kama angeinama kiuhalisia mbele zake. # kupata kibari mbele zako Kifungu "kuona kibari" kinamaanisha kukubaliwa na mtu. Kingungu "mbele zako" inaonesha anachofikiri mfalme.